Rasilimali Za Kiswahili


SAFARI and UTOE Study Tools

(Document is in Kiswahili and English.) Together, the SAFARI and UTOE study tools provide a simple, practical framework for engaging Scripture in a way that leads to both understanding and transformation.

Mamlaka ya Maandiko Takatifu

Rasilimali hizi zinasaidia Baptisti wa Kiafrika kuimarisha ufahamu wao wa mamlaka ya Biblia, kuimarisha imani yao katika Biblia, na kuishi utambulisho wao kama Watu wa Kitabu.

Uongozi wa Kanisa Wenye Afya  

Mwongozo huu unasaidia kanisa lako kujifunza jinsi ya kujichunguza katika maeneo mbalimbali ya afya ya kibiblia. Pia inatoa suluhisho katika jinsi ya kuedeleza mambo unayofanya vizuri na kushughulikia maeneo ambayo bado unapambana.

Falme Mbili  

Maelezo ya Falme Mbili inaeleza kwa rahisi injili kwa kulinganisha ufalme wa giza na ufalme wa nuru.

Uumbaji Mpaka Kristo  

Hadithi yaitwayo “Uumbaji mpaka Kristo” ni simulizi ambayo inaunganisha pamoja hadithi za kibiblia kutoka nyakati wa uumbaji hadi kifo cha Kristo na ufufuo. Inaweza kutumika kushiriki mpango wa Mungu wa wokovu kupitia Yesu Kristo tangu mwanzo.